Lunch ya wachezaji wa Majimaji kabla ya kunyukwa 4-1 na Yanga .


Nilipooa nilistuka kidogo, sikuweza kuamini kama mpaka leo hii kuna timu katika ligi kuu ya Tanzania ambayo hata chakula tuu ni kwa mazingira magumu kama haya, najiuliza vipi kuhusu mishahara yao? Vipi kuhusu afya na mengineyo? Je tunakwenda mbele au tunarudi kule kule?
Viongozi wa Majimaji hii ni aibu kwenu, hamna la kuwaambia Watanzania na Wanalizombe.

Comments

Popular posts from this blog

Jacob Zuma resigns as South African President