Msafara wa Humphrey Polepole wapatwa na ajari mbaya mkoani Kigoma

Msafara wa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Hamphrey Polepole umepata ajali katika eneo la kijiji cha Nyamidaho, Kata ya Makere wilayani Kasulu mkoani Kigoma leo. Ajali hiyo imehusisha gari aina ya Toyota V8 yenye namba T150 CWE iliyokuwa ikiendehswa dereva aliyefahamika kwa jina moja la Kibuta wakati wakielekea katika ziara ya kiongozi huyo wilayani Kakonko, Kigoma.

Comments

Popular posts from this blog

Jacob Zuma resigns as South African President